Enkaly
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 307
- 428
Daraja la Nyiburu ni daraja pekee ambalo limekua kero kwa wakazi wa Chanika.
Madiwani wapo, wabunge wapo hivi inahitajika nin cha ziada ambacho kama wakazi tunaweza kuelezwa mkandarasi alipewa muda gani kumaliza hilo daraja?
Sasa ni zaidi ya miwili kama wanajenga flyover kweli?
Daraja la namanga samething its like kama wahusika hawaoni, huu upigaji utakoma lini?