Kero ya Jiji la Dodoma,Upande wa Maliwato

Kero ya Jiji la Dodoma,Upande wa Maliwato

Mbina yaza

Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
65
Reaction score
172
Leo asubuhi nilienda kupata huduma pale ofisi za Jiji Dodoma! Nikiwa pale kwenye foleni kwa kwenda kuonana na mtoa huduma wangu,nilipata udhuru,nikasema ngoja niende maliwatoni nikapate huduma za kila siku za kijamii!

Kusema na kweli, baada yakuona tu ule mlango wa kuingia chooni,nilikutana na harufu kali sana,kiasi cha kwamba kama kuna sayansi yoyote ningeweza kuiweka hapa! Ni harufu kali sana!

Nilishangaa sana baada yakuingia mle ndani kwenye vyoo vyao,yaani hadi huduma ambayo ilinipeleka kule,ilipotea ghafla,nikajikuta nashangaa tu mwenyewe!

Naambatanisha picha za hivyo vyoo!
 

Attachments

Tunasubiria Wahisani kutoka Amerika waje watufadhili ujenzi Wa Nyumba za mavi na mikojo yetu.
 
Kwa hiyo Meya na Mkurugenzi wa Jiji nao wanaponea hapo...!!!
 
Back
Top Bottom