KERO Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii kipande ya Tegeta Boko maji hayatoki na hakuna taarifa Rasmi

Anayejua kinachoendelea atujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…