Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kutoa ufafanuzi juu ya changamoto hii ambayo sasa imegeuka kuwa kero na hadha kubwa kwa wananchi.
Waziri Aweso, ebu ingilia kati suala hili maana wananchi wanahoji kulikoni hadi wapitie mateso makubwa kiasi hiki?
==== ======
Changamoto ya maji ni kuanzia Area A, Chamwino, Chinangali, Kizota, Mnada Mpya, Mtyuka, Mkonze na Chidachi.
Pia soma:
~ Dodoma: Kazi ya uchimbaji wa kisima eneo la Kisasa utaanza siku ya Jumatatu Oktoba 07, 2024
~ Waziri Aweso: DUWASA hakikisha mnatafuta suluhisho la muda mfupi maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa maji, hasa ya pembezoni mwa Mji wa Dodoma
~ Dodoma: DUWASA imeanza uchimbaji wa kisima eneo la Kisasa-Mwangaza