KERO Kero ya Mashimo ya kwenye reli Barabara ya Korogwe - Same eneo la Chekelei ni hatari kwa watumiaji wa barabara

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Eneo hili la reli lina mashimo makubwa ambayo yanahatarisha watumiaji wa barabara hasa usiku. Wananchi Eneo hili wanashuhudia ajali kila kukicha watu wakipasua tairi za magari na kupoteza mwelekeo barabarani. Wahusika ikiwemo TANROADS Mkoa wa Tanga na wengineo wako wapi?


Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…