Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

Nyumba zisizo na dari la ceiling board na gypsum juu huwa majirani wanateseka sana na hilo.

Acha nyeto, tafuta na wewe ule.
 
Na wewe tafuta bwana ulie kilio cha mwanafunzi
 
Nyumba zisizo na dari la ceiling board na gypsum juu huwa majirani wanateseka sana na hilo.

Acha nyeto, tafuta na wewe ule.
Sio hivyo kwa mfano mm, kelele ilikuwa inapitia dirishani hadi kero
 
Make hapo kwanza ncheke, jirani jirani analeta kisanga
 
Kesho wakianza mambo Yao ,chukua simu warekodi ,halafu asubuhi replay ulichorecord usiku ,funga mlango wako ondoka acha hiyo sauti,hakikisha muhusika Yupo , asikilize siku nzima vile anafanya usiku[emoji27]
 
Hahaahahahaha!! Watu wanajiachiaaaaa kwaraha zao!!! [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!
Thubutuuuu kukutwaaaaa babuu lazima uhahee!!
Ukikutana na damu inachemka ni weka niweke hadi Kuna kucha 🤸🤸🤸
 
Umenikumbusha mbali Sana!
Kuna Rafik yangu mmoja yeye alikuwa amepanga nyumba ya hivyo, halafu haikuwa na sailing board.
So alichokuwa anafanya ni kusikilizia miguno, kuwarekodi alafu asubuhi anakuja kutuonyesha video kazini[emoji23]
Kila siku alikuwa analeta tile ya kipande kipya, style mpya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…