Kero ya miguno ya mapenzi kwa mpangaji mwenzangu

  • Username.... (kike)
  • Ndanii ya thread.... (Mimi mwanachuo sitaki mambo ya mademu) a big confusion 🤔🤔
Kama wewe ni Me bhasi ni mpiga punyeto na kama ni Ke bhas jiandae kumegwa na huyo jamaa
 
Reactions: F9T
Mimi ni me jamani nadhani nimeeleweka vizuri kuwa nimekua addicted na miguno ya mahaba sio kwa kupenda imetokea sababu jamaa analeta kila sku na si kwamba mim Sina demu Ninae ila yuko Kijijini hpa mjini niko chuo huwez nishauri na mimi nilete sina tabia hiyo sasa hyu jamaa nishamfuata nkamwambia awe anaweka redio ila naona akasema yeye demu akiwa analia huwa ndo strehe yake hawez fungulia redio sasa mim nimekuja kuomba ushauri naona mnanitukana sio poa inawezekana wako wanaokerwa pia kama mimi mkitoa ushauri unaweza kuwasaidia wengi
 

Sawa me ila acha kutumia neno ‘jaman’
Halafu ukiambiwa unatamani kutoa miguno kama huyo binti unalalamika na jaman zako
 
E@Bossladies unajiita me halafu unatumia id ya kike?,kuna walakini hapo,halafu kwa maelezo yako umekua addicted na hizo kelele siku asipoleta unakosa raha,cha kukushauri siku jamaa asipoleta demu unaonaje uende kumgongea mlango ujue kinachowalizaga hao mademu
 
Boss ladies na hutaki mambo ya mademu eeenh
 
Pole sana, uwe naweka picha upewe miongozo...
 
Ila wanawake wa siku hizi wanaona miguno ndiyo fasheni.Yani unakuta Kuna demu Ile unaingiza tu tayari anaanza miguno. Mimi napenda yule ambae mkianza game inakuwa kimya kimya hadi moto uwe mwingi ndiyo miguno ianze hapo nainjoi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…