Kweli kabisaKwa jinsi miundombinu ya majiji yetu ilivyo viongozi wangetafuta namna nyingine ya kusafiri aisee.
Kuna wengine hata hawahitaji ving'ora ila ndio hivyo sasa kila mmoja anataka kupishwa.
Saa moja na nusu ni kidogo?..na mtu anasema ana mgonjwa...Haijafika masaa manne acha uongo,ni kama saa moja na nusu tu hivi Kiongozi akapita.