Hii misafara ya viongozi wetu inakera sana.Leo nimeonja adha ya hii kero haba mbezi karibu na standi kuu ya mabasi ya magufuli.
Nina mgojwaa nawahi hospitali lakini gari zimezuiwa na nimejaribu kuwa eleza hawa askari wanadai watanichapa makofi nikilazimisha Kwa kudai Kuna kiongozi mzito anakuja.
Nimekereka sana yaani huyo kiongozi mzito wanayedai ni ameweka na nani madarakani?
Au yeye ni muhimu sana kuliko watu wengine? Yaani masaa manne tumesimamishwa tunasubiri kiongozi apite ambaye huenda amepata madaraka Kwa kura za wizi.
Nchi hii imekuwa ya hovyo sana