luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Duh sasa ukitokea tabata ndio utajuta kale ka zebra. Kuna trafik wana upande wa kushoto ktk kibanda pale wao macho yao yapo ktk kqle ka zebra ambako hakaonekani ukikakanyaga tu UMELIWANjia yangu hiii. Kanuni ya njia tatu. Ikifika mchana pale mataa traffic wanafanya mradi wa TRA. Hata kama unakata kwenda Tabata usikae kati, la sivyo umeliwa
hivi hayo majumba 6 yapo upande gani mkuuKama kichwa cha habari kilivyo.
Ukipita njia ya Tabata Segerea kuelekea Ukonga ukifikanpale Majumba Sita kuna trafic light pale kuna michoro ya zebra ambayo ni wazi dereva mgeni wa njia ile ni vigumu kutambua.
Kero hii imekuwa inachangiwa zaidi na trafiki ambao kazi yao ni kuandikia tu notification gari itakayo kanyaga zile zebra.
Uongozi unahusika mkachore upya zile alama pale ni kero.
Niliwahi kupewa mkeka mwaka jana kwa sababu ya hizo alamaNiliwahi zozana na mdada traffic pale kisa kukanyaga hizo pundamilia zisizoonekana. Pona pona yangu nilipomsifia uniform zimempendeza akaniachia huku akijifanya ataniandikia nikikanyaga tena zebra.
Mod ali edit heading ..Heading>>Taa za barabarani
Body>>>>>Zebra crossing
ππ»ππ»π€¦π€¦