Habari za wakati huu wadau wa JF,
Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti hata nusu saa wanakata tena.
Hapa ninapoongea, tangu asubuhi mpaka sasa wamekata umeme na kurudisha papo kwa papo si chini ya mara 10. Wamesababisha mpaka friza yangu ya ofisini imepiga shoti.
Angalau kama kuna changamoto wangetoa hata taarifa rasmi, badala ya kututia hasara zisizo na mpango wowote.
Hapa ninapoongea wamerudisha umeme, si chini ya dakika 5 wamekata tena.🚮