Habari wisso1, asante kwa kuwasiliana nasi na tunaomba radhi kwa changamoto hiyo.Habari za wakati huu wadau wa JF,
Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti hata nusu saa wanakata tena.
Hapa ninapoongea, tangu asubuhi mpaka sasa wamekata umeme na kurudisha papo kwa papo si chini ya mara 10. Wamesababisha mpaka friza yangu ya ofisini imepiga shoti.
Angalau kama kuna changamoto wangetoa hata taarifa rasmi, badala ya kututia hasara zisizo na mpango wowote.
Hapa ninapoongea wamerudisha umeme, si chini ya dakika 5 wamekata tena.🚮
Hapo ndiyo mtihani unapoanziaHabari wisso1, asante kwa kuwasiliana nasi na tunaomba radhi kwa changamoto hiyo.
Tafadhali tupatie namba yako ya simu pamoja na taarifa kamili za eneo unalopatikana ikiwemo, Mtaa uliopo na eneo maarufu karibu na wewe ili tuweze kukupatia msaada zaidi. ^FL
Duh! kutoa taarifa ni hadi kujua mtaa anapokaa mteja.Hapo ndiyo mtihani unapoanzia
Ova
😄Duh! kutoa taarifa ni hadi kujua mtaa anapokaa mteja.
Alafu kuna kiongozi mmoja alitangaza kabisa uwe umeaaga familia yako!
Habari wisso1, asante kwa kuwasiliana nasi na tunaomba radhi kwa changamoto hiyo.
Tafadhali tupatie namba yako ya simu pamoja na taarifa kamili za eneo unalopatikana ikiwemo, Mtaa uliopo na eneo maarufu karibu na wewe ili tuweze kukupatia msaada zaidi. ^FL
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja.Duh! kutoa taarifa ni hadi kujua mtaa anapokaa mteja.
Alafu kuna kiongozi mmoja alitangaza kabisa uwe umeaaga familia yako!
Habari HOLY SKANKA, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja. Pole kwa changamoto unayopitia.Angekuwa Anaiba Umeme Kinyemela Mngepajua Kawe Kwa Juhudi Zote,,Lakini Kwa Kuwa Mwananchi Ameibua Kero Inayowahusu Mnajibu Blahh Blahh...
Nendeni Kawe Huko,.Changamoto Mtazikuta Huko...
###KwambaKaweHampajui###
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana na TANESCO Huduma kwa Wateja.Hapo ndiyo mtihani unapoanzia
Ova