A
omba kubadilishana kituo na muhitaji mwingine utakaempata hii ni rahisi zaidiMimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza.
Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika Halmashauri toka mwezi wa 9/2025, lakini mpaka sasa kinaendelea kuzuiliwa na Mkurugenzi.
Nimefanya ufuatiaji kwenye Ofisi ya Mkurugenzi mara kwa mara lakini kila nkienda napewa sababu tofauti.
Naomba msaada wa kulifuatilia hili na kuliweka wazi.
Hii naona ni rahisi kwa waliopo LGA's kwa wale waliopo kwenye Taasisi, kuhama kutoka Taasisi Moja kwenda nyingine kwenye mfumo ni ngumu kukuta Incoming Exchangeomba kubadilishana kituo na muhitaji mwingine utakaempata hii ni rahisi zaidi