Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

Kero ya umeme Mitaa ya Tegeta, Kilimahewa Juu

Mocarion

New Member
Joined
Apr 13, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Pamekua na kero kubwa ya umeme tegeta salasala maeneo ya kilimahewa juu. Umeme unakata kata sana bila taarifa na kupelekea vitu kuharibika na kuingia hasara.

Tunaomba mamlaka itoe ufafanuzi juu ya hili mana ni maeneo ya huku tu ndo umeme haupatikani lakini maeneo mengine upo. Takribani wiki sasa tupo kwenye hari hiyo.
 
Back
Top Bottom