MIHULU
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 359
- 495
Lami. Inayotoka Mtwara inaishia Mnivata(Mtwara vijijin) haifiki Nanyamba. Pale Nanyamba Kuna kipande Cha lami kifupi kuvuka mjhi na ule. Ule. Mlima,Lami inayotoka Mtwara inaenda hadi Nanyamba, baada ya hapo utakuta kipande kidogo cha lami Tandahimba, kisha utaikuta lami nyingine Newala mjini.
Kwa kifupi kutokea Newala kwenda eidha Tandahimba, Masasi au Mtama lazima sehemu kubwa upambane na barabara ya vumbi.
NB mkandarasi yupo site muda huu kutia lami kipande Cha Tandahimba - Nanyamba