Lami inayotoka Mtwara inaenda hadi Nanyamba, baada ya hapo utakuta kipande kidogo cha lami Tandahimba, kisha utaikuta lami nyingine Newala mjini.
Kwa kifupi kutokea Newala kwenda eidha Tandahimba, Masasi au Mtama lazima sehemu kubwa upambane na barabara ya vumbi.