Bruno Jewel
New Member
- Sep 28, 2023
- 4
- 2
Tanzania abiria hana thamani maana rushwa imetamalaki sema kwa hiyo safari usikate Tiketi Bus lolote tafuta yale makongwe na Njia kama ABC,Abood na mengineyo hautakuja kupata tatizo kama hilo wanajali sana muda..Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.
Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Mbona unawashik vzr , ulipaswa ulipofk kwenye ofisi zao u keep time record ya ushahid kuw ulifk kwa wakat hvyo, lakn pia track system ya rada itaambua gari ilikuwa wap kwa wakat huoNimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.
Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Kuna kampuni za uhakika, sio kila kampuni ya bus ina weledi,Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.
Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Toa taarifa LATRANimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et gari ilipita saa 11: 20 kwa hiyo nitapakiwa kwenye gari jingine.
Hivi hakuna njia au sehemu ya kuripoti haya matatizo ya abiria ikiwezekana hawa watu wawe wanachukuliwa hatua za kisheria.
Tracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wao?Mbona unawashik vzr , ulipaswa ulipofk kwenye ofisi zao u keep time record ya ushahid kuw ulifk kwa wakat hvyo, lakn pia track system ya rada itaambua gari ilikuwa wap kwa wakat huo
Si swala la wao kutak au kutokutana ni swala la order ya mahakama tuu ,Tracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wmkuu.
Watakuita mmalizane kikubwaTracking system pekee inatosha. Kitendo cha basi kutokuwepo stendi saa 12 asubuhi wakati wa kuondoka kinatosha kuwa ushahidi. Ishu, je! wahusika wa hiyo system watakubali kumkaanga mtu wao?