Princessnemy
New Member
- Jul 21, 2022
- 1
- 7
Usichokielewa nini, Inamaana we ujui kuwa mabango yalipiwa?, au we mkongomani!? au hapo ulipoweka hilo bango ni kwa babako? Hacha lawama za kijinga lipa Kodi kwa maendeleo yako.Habari zenu wapendwa.
Samahani mimi nina kero ya mlipuko wa ushuru wa wafanya biashara malipo ya ushuru yamekuwa mengi halafu hayana kichwa wala miguu sijui wenzangu mnalionaje ushuru ulioniuma zaidi ni ushuru wa mabango sijaelewa hii serikali kama inajielewa najiuliza kama nisingeweka bango ninapata wapi pesa ya kuilipa serikali kupitia biashara yangu ama inatakiwa nibandike leseni nje ya biashara yangu watu wasome na je wataona
We ni mgeni?Habari zenu wapendwa.

Ila waajiriwa ni wakuda sana. Mabongo tutalipa Ili hiyo serikali yenu ya kichawi ya CCM iambieni itanue fursa Kwa wazao yaani inamuacha mzao kwenye sekta ya kilimo na biashara ya uchuuzi tu hapohapo Inapanga bei ya mazao chini na kupita na Kodi za kimbavu wakati biashara zinapumulia mashine. Hapo hapo Kwa wageni Ina wapa fursa zile Bora kama viwanda, ujenzi, madini hafu Kodi kitonga hivi imagine kampuni ilikua inailipa 4% Kama gawio na mchanga wanachukua sema tunaweza sema ilikua zamani. Lakini 2024 wapumbavu wamesaini mkataba mwengine TenaUsichokielewa nini, Inamaana we ujui kuwa mabango yalipiwa?, au we mkongomani!? au hapo ulipoweka hilo bango ni kwa babako? Hacha lawama za kijinga lipa Kodi kwa maendeleo yako.
Yani ushuru katika biashara ni saratani sugu. Ni afadhali ijulikane nalipa kodi kiasi fulani imeisha hiyo. Sasa ushuru mara fire, ukiweka bango kuwambia kuwa una huduma fulani hawa hapa, mara sijui osha, mara sijui dah acha tuHabari zenu wapendwa.