Princessnemy
New Member
- Jul 21, 2022
- 1
- 7
Habari zenu wapendwa.
Samahani mimi nina kero ya mlipuko wa ushuru wa wafanya biashara malipo ya ushuru yamekuwa mengi halafu hayana kichwa wala miguu sijui wenzangu mnalionaje ushuru ulioniuma zaidi ni ushuru wa mabango sijaelewa hii serikali kama inajielewa najiuliza kama nisingeweka bango ninapata wapi pesa ya kuilipa serikali kupitia biashara yangu ama inatakiwa nibandike leseni nje ya biashara yangu watu wasome na je wataona