sasa kama dada zako wanajichubua ni malezi ya familia yenu
ukiachia mbali hao dada zako kuna hata wanamme wanajichubua, angalia waigizaji wa kiume wa ta na baadhi ya waimbaji
tena wameenda mbali hadi wanaweka zazuu
Usituchoshe, hutulipi hatukulipi
Akuuu! Wabeba boksi mikono migumu afu hela zenyewe unahesabia mfukoni! Nimepata kibabu cha kizungu, salio unlimited. Mgawie kongosho mateka anamzingua.
Mmmmhhhh na wewe pia.
Kuna mbeba maboksi anakupa hi Lizzy...
Kujichubua wajichubue wengine kukereka mkereke nyie. Waja bana!
wanaume wa siku hz baadhi yao wanajichubua. Sasa cjugq utasemaje
Nimekupata rais....... ovaHebu ongea na katibu Klorokwini huko....Kloro...kamata shori meeen
Hebu ongea na katibu Klorokwini huko....Kloro...kamata shori meeen
suala la kujichubua uso na sehem nyngine zikiwa black lisikupe taab nawandalia kemikali ya kumeza itakayochubua mwili mzima.