kero yangu kwa baadhi ya dada zangu

kero yangu kwa baadhi ya dada zangu

sasa kama dada zako wanajichubua ni malezi ya familia yenu
ukiachia mbali hao dada zako kuna hata wanamme wanajichubua, angalia waigizaji wa kiume wa ta na baadhi ya waimbaji
tena wameenda mbali hadi wanaweka zazuu

Usituchoshe, hutulipi hatukulipi

Kongosho inaelekea neno la Pastor TF halijakuingia bado maana duuuh maneno yako.....mi simo!
 
Akuuu! Wabeba boksi mikono migumu afu hela zenyewe unahesabia mfukoni! Nimepata kibabu cha kizungu, salio unlimited. Mgawie kongosho mateka anamzingua.

Hebu ongea na katibu Klorokwini huko....Kloro...kamata shori meeen
 
Kujichubua wajichubue wengine kukereka mkereke nyie. Waja bana!

Mkereketwa nambari one! Naona aibu sana kumtambulisha aunty yangu mbele za watu kwa jinsi alivyojikoboa! Ni mambo ya aibuuuu sana jamani mwanamke mzuri ana mvuto mashaallah kwenda kujipaka mikorgo ya nini jamani???
 
wanaume wa siku hz baadhi yao wanajichubua. Sasa cjugq utasemaje

Excuse ! Nilikua napita nika overlook comment yako ikabidi nitie maguu hapa niisome vizuri niliona umesema "kuna wanaume baadhi yao wanajichua" kumbe umesema "wanajichubua" ni hilo tu kiongozi napita
 
Kloro huyu wa SL? Anaehesabia hela mfukoni? Mie matumizi yangu makubwa, sio kujichubua na nywele za maiti. Ataweza kuninunulia risasi na mafuta ya gun? Usimchoshe mtoto wa mwanamke mwenzangu,lol!
Hebu ongea na katibu Klorokwini huko....Kloro...kamata shori meeen
 
suala la kujichubua uso na sehem nyngine zikiwa black lisikupe taab nawandalia kemikali ya kumeza itakayochubua mwili mzima.
 
Back
Top Bottom