Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Kwema ndugu,

Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine.

Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind anapo fanya muamala kimakosa.
 
Back
Top Bottom