Kero yangu kwa huduma kwa wateja (Tigopesa na M-pesa)

rich1

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
3,020
Reaction score
3,309
Kwema ndugu,

Leo kero yangu nawatupia kitengo cha huduma kwa wateja upande wa Tigopesa na m-pesa wamekuwa wazito au kuchukua mda mrefu sana kupokea simu ya mteja pindi anapokoesa kutuma pesa kwa mteja mwingine.

Tunawaomba mfanye marekebisho haraka ili kuweza kuokoa pesa za mteja wenu pind anapo fanya muamala kimakosa.
 
0714100100
0754100100
Watembelee WhatsApp Haraka Uwape Ushauri Wako Na Kilichotokea

Nilitaka kujibu kama wewe ila umeniwahi.
Hapo Tigo tu ndio wapo speed.
Ila VodaCom ajiandae kuchati na roboti wao, Tobi[emoji1787]
 
Hii biashara ya kuchati wasap kwa mambo serious sioni kama ni akili
N kweli ndugu mtu kakosea muamala wa million moja zen muanze kuchat whatsap????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…