Ni social services zooote ni duni plus poor democracy, uchumi kiujumla, poor jeshi la Polish maana watu wake hawana akili,Hizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu.
Kero:
1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana.
2. Miundombinu ya barabara
3. Elimu: Hapa kuna shida kubwa.
4. Huduma hafifu za afya
5. Umeme:
6. Uhuru wa kujieleza, kutoa maoni: watu wanaogopa kuongea
7. Nyumba/makazi:
Hizo ni baadhi tu, ila zipo nyingi
UTekajiHizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu.
Kero:
1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana.
2. Miundombinu ya barabara
3. Elimu: Hapa kuna shida kubwa.
4. Huduma hafifu za afya
5. Umeme:
6. Uhuru wa kujieleza, kutoa maoni: watu wanaogopa kuongea
7. Nyumba/makazi:
Hizo ni baadhi tu, ila zipo nyingi