Wana JF,
Kila kukicha tunaaminishwa kuwa Serikali mbili ndiyo muafaka wa muungano na kero zake zinaweza kushughulikiwa. Ila mimi naona kila kukicha kero hizo zinaongezeka.
Kwenye bunge la katiba Majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar yanawakilishwa na watu wawili wawili. Watanganyika wengi wanayaona majimbo ya Zanzibar kuwa yana ukubwa sawa na kata au vijiji vya upande wa Tanganyika.Hata hivyo la kukera zaidi ni kuwa katika bunge la katiba jimbo moja Zanzibar linawakilishwa na mbunge pamoja na mjumbe wa baraza la wawakilishi wakati pamoja na ukubwa wake, majimbo ya Tanganyika yanawakilishwa na mbunge tu.