Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Hivi bara kuna umeme usio katika? Zanzibar ipo freshi sana ukiondoa mambo ya kiufundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo muungano kwanini tanganyika waung'ag''anie?
Mke mwenyewe tasa! Kupewa talaka hataki! Na kumruhusu mume kuongeza mke pia hataki!
Duhh ama kweli Tanganyika nuksi!
Mngekuwa mnajielewa msingekubali kuwa parasite. Kupe... tena kupe aliyeshika kwenye perennial region. Kama hujui maana ya hilo neno google...
Wana JF,
Kila kukicha tunaaminishwa kuwa Serikali mbili ndiyo muafaka wa muungano na kero zake zinaweza kushughulikiwa. Ila mimi naona kila kukicha kero hizo zinaongezeka.
Kwenye bunge la katiba Majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar yanawakilishwa na watu wawili wawili. Watanganyika wengi wanayaona majimbo ya Zanzibar kuwa yana ukubwa sawa na kata au vijiji vya upande wa Tanganyika.Hata hivyo la kukera zaidi ni kuwa katika bunge la katiba jimbo moja Zanzibar linawakilishwa na mbunge pamoja na mjumbe wa baraza la wawakilishi wakati pamoja na ukubwa wake, majimbo ya Tanganyika yanawakilishwa na mbunge tu.
haya ndio mamabo yanayowashushia sana heshima watawala wa zenj, na kupelekea zenj kuwa n ahatama mbaya sana.Hawajazi nafasi kwa competente persona,na mbaya zaidi hawataki kubali kuwa kuna wakristu wazuri na wenye alimu bora ingawa ni wachache sana. ubaguzi utawatafuna sana
haya ndio mamabo yanayowashushia sana heshima watawala wa zenj, na kupelekea zenj kuwa n ahatama mbaya sana.Hawajazi nafasi kwa competente persona,na mbaya zaidi hawataki kubali kuwa kuna wakristu wazuri na wenye alimu bora ingawa ni wachache sana. ubaguzi utawatafuna sana
Wewe ni takataka kabisa..upo busy na mistari kibao ya Biblia na ya Quran..huku ukiw ana rundo la matusi...Wewe ni chukizo kwa Mungu.... Matusi uliyoto hadi sasa umedhalilisha dini uliyokuwa ukipgania kuliko osama na ugaidi wake.....mwisho wa siku mtabaki kuwa losers for life.We mbulula! Ya nini kuandika kiingereza wakati HUJUI?? Hivi utakuwa na akili ya kujadili lini!? Hii misukule ya chadema ni janga la taifa!
Wewe ni takataka kabisa..upo busy na mistari kibao ya Biblia na ya Quran..huku ukiw ana rundo la matusi...Wewe ni chukizo kwa Mungu.... Matusi uliyoto hadi sasa umedhalilisha dini uliyokuwa ukipgania kuliko osama na ugaidi wake.....mwisho wa siku mtabaki kuwa losers for life.