Wana JF,
Kila kukicha tunaaminishwa kuwa Serikali mbili ndiyo muafaka wa muungano na kero zake zinaweza kushughulikiwa. Ila mimi naona kila kukicha kero hizo zinaongezeka.
Kwenye bunge la katiba Majimbo ya uchaguzi ya Zanzibar yanawakilishwa na watu wawili wawili. Watanganyika wengi wanayaona majimbo ya Zanzibar kuwa yana ukubwa sawa na kata au vijiji vya upande wa Tanganyika.Hata hivyo la kukera zaidi ni kuwa katika bunge la katiba jimbo moja Zanzibar linawakilishwa na mbunge pamoja na mjumbe wa baraza la wawakilishi wakati pamoja na ukubwa wake, majimbo ya Tanganyika yanawakilishwa na mbunge tu.

Napita njia tu......
Yaani. Imagine hayo maneno kama ingekuwa kinyume chake. Ingekuwaje kama bara wangekuwa na wawakilishi wa2 toka kila jimbo? Wangechongaje kama majimbo ya uchaguzi yangekuwa makubwa ( per area and population)? Ingekuwaje kama wao wangetoa rais 1 kati ya hawa waliopo sasa 5, na wa4 watoke Bara? Ingekuwaje marais wote 5 ,. Kikwete hadi akina Seif wangekuwa wote Wakristo.? Basi kwa hayo tuwaombe sana ndugu zetu waache kulalamika kwani wanafaidi muunguno zaidi. Tuishi kwa kuvumiana na uelewa mkubwa.
Huu muungano ni kielelezo pekee cha ujinga wa Watanzania kilichobaki hai...
Ni ujinga wa watanganganyika,wazanzibar tunajielewa.
Huu muungano ni kielelezo pekee cha ujinga wa Watanzania kilichobaki hai...
haya ndio mamabo yanayowashushia sana heshima watawala wa zenj, na kupelekea zenj kuwa n ahatama mbaya sana.Hawajazi nafasi kwa competente persona,na mbaya zaidi hawataki kubali kuwa kuna wakristu wazuri na wenye alimu bora ingawa ni wachache sana. ubaguzi utawatafuna sanaZanzibar wamechukuliwa mpaka wanafunzi wa sekondari kujaza nafasi. Katiba tia maji tia maji.