Kero za muungano zinaongezeka. Majimbo Z'bar yanawakilishwa na watu wawili bunge la katiba

Hivi bara kuna umeme usio katika? Zanzibar ipo freshi sana ukiondoa mambo ya kiufundi
 
Hivi SMZ inachangia kiasi gani kuendesha hili bunge la katiba?
 
Huo muungano kwanini tanganyika waung'ag''anie?

Mke mwenyewe tasa! Kupewa talaka hataki! Na kumruhusu mume kuongeza mke pia hataki!

Duhh ama kweli Tanganyika nuksi!

Hapana tanganyika ni shamba la bibi kila ajae na avune, bado wananchi wake wamelala nahisi wamepewa limbwata la kutojitambua.
 
Mngekuwa mnajielewa msingekubali kuwa parasite. Kupe... tena kupe aliyeshika kwenye perennial region. Kama hujui maana ya hilo neno google...

Tunza kinywa chako kama karo la choo, Cheupe njoo Zanzibar basi tukunyweshe chai mtoto!
 

Akili zako mbovu na utabaki kulalamika sana kuhusu wazanzibar,wale wenzetu wanajitambua sisi makabwela tumefeli baada ya kuipoteza TANGANYIKA ,km nasi tunataka hayo lazima tuirejeshe tanganyika yetu na sio kukaa kupiga kelele kama tulofumaniwa na mash...ga,sisi tanganyika tumeiua wenzetu zanzibar yao wanayo na ndio maana kila jimbo ni wawili mmoja wa zanzibar mwengine wa muungano,tuwache kupiga kelele wa kumlaumu ni nyerere na wafuasi wake,ili nawe jimbo lako liwe na wawakilishi wawili wa tanganyika na muungano sasa ndio wakati wake kumwambia aliekuwakilisha wapiganie tanganyika irejee laa sio hivyo utabaki kila siku kulalamika kwenye jamii forum na hutapata msaada wowote,zinduka badilika mkuu.
 

We mbulula!
Ya nini kuandika kiingereza wakati HUJUI??

Hivi utakuwa na akili ya kujadili lini!?

Hii misukule ya chadema ni janga la taifa!
 

Welcome back mleviboy
 
We mbulula! Ya nini kuandika kiingereza wakati HUJUI?? Hivi utakuwa na akili ya kujadili lini!? Hii misukule ya chadema ni janga la taifa!
Wewe ni takataka kabisa..upo busy na mistari kibao ya Biblia na ya Quran..huku ukiw ana rundo la matusi...Wewe ni chukizo kwa Mungu.... Matusi uliyoto hadi sasa umedhalilisha dini uliyokuwa ukipgania kuliko osama na ugaidi wake.....mwisho wa siku mtabaki kuwa losers for life.
 

Teh teh teh!

Who can be more looser than you! Whom you choose alcohol to be your wife and your lover!

Look at your face man!
You look like a bee just sting you!


Teh teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…