Kero za NMB

Kero za NMB

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja.

Suala hili limeniudhi sn, nawashangaa sn NMB na natafakar IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? Yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check? iImenikera sana
 
nimefatilia mkopo wa wafanyakaz NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja.

suala hili limeniudhi sn, nawashangaa sn NMB na natafakar IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check?? imenikera sn
Pole mkuu hata mimi nilikuwa na shida kama yako, nilikwenda equity bank nimekamilisha kila kitu chakushangaza mpaka leo ni takribani wiki ya 3 nikienda kuuliza sipati majibu yanayoniridhisha
 
Maafisaa wa mikopo bila kitu kidogo ndugu, sahau kupata mkopo.
 
Tatizo la wabongo, mnakuwa wapole sana, na ndio maana mnachezewa chezewa sana, fuata hatua hizi, nenda tena kwa afisa mikopo, muulize inawezekana au ndio magumashi. Ukiona anajibu ujinga, nenda kwa meneja wake, mwelezee, kisha mpe siku mbili tu, ukiona nayeye yupo pamoja na afisa wake, maana some time huwa wanakula pamoja. Kisha nenda kwenye mtandao wao kuna sehemu inaitwa wistle browers( huenda nikawa nimekosea spelling) andika hapo claim yako, mtaje jina huyo afisa, taja na branch husika, tena elezea hatua ulizozifuata hadi kumuona huyo meneja. Ukiandika tu hapo, taarifa inaenda moja kwa moja kwa director wao. Ukifanya hivyo, tutaweza kupata huduma bora kwenye jamii yetu, epuka rushwa, msiwaendekeze. By mzee wa kutibua.
 
Benk zinatafuta deposite kwa sasa, na faida kubwa wanayoipata benk, ni kupitia mikopo, sasa mtu unaenda kukopo, mtu anakuletea za kuleta, mtibulie tu, na hata kama sio afisa mikopo, hata hao wafanyakazi wengine, ukiona wanakuletea dharau au wnajibu maneno ya ovyo ovyo, fuata hatua hizo hizo hapo juu, mkifanya hivyo, nadani miezi mitatu tu, heshima itarudi benk ya NMB, na watawaheshimu, maana hizi kazi za kupewa na mjomba huwa sometime zinakuwa ni kero kwa wateja. Samahani staff wa nmb, maana nimetibua. By mzee kutibua.
 
nimekupata vizuri sana kiongozi, ngoja niende mida hii, maana nilikaa kimya kuwapa kipindi cha mpito, mda wa matazamio umekwisha ss nachukua hatua
 
Back
Top Bottom