Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja.
Suala hili limeniudhi sn, nawashangaa sn NMB na natafakar IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? Yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check? iImenikera sana
Suala hili limeniudhi sn, nawashangaa sn NMB na natafakar IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? Yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check? iImenikera sana