Pole mkuu hata mimi nilikuwa na shida kama yako, nilikwenda equity bank nimekamilisha kila kitu chakushangaza mpaka leo ni takribani wiki ya 3 nikienda kuuliza sipati majibu yanayoniridhishanimefatilia mkopo wa wafanyakaz NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes mtandao usumbue nchi nzima na hakuna way out wanayoifanya / kuwaeleza wateja.
suala hili limeniudhi sn, nawashangaa sn NMB na natafakar IT officers wa NMB wanafanya kazi gani? yaani mkopo unakua kama ni kuprocess check?? imenikera sn
Benk zinatafuta deposite kwa sasa, na faida kubwa wanayoipata benk, ni kupitia mikopo, sasa mtu unaenda kukopo, mtu anakuletea za kuleta, mtibulie tu, na hata kama sio afisa mikopo, hata hao wafanyakazi wengine, ukiona wanakuletea dharau au wnajibu maneno ya ovyo ovyo, fuata hatua hizo hizo hapo juu, mkifanya hivyo, nadani miezi mitatu tu, heshima itarudi benk ya NMB, na watawaheshimu, maana hizi kazi za kupewa na mjomba huwa sometime zinakuwa ni kero kwa wateja. Samahani staff wa nmb, maana nimetibua. By mzee kutibua.