Best Vibez Store
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 131
- 123
Habari za Asubuhi
Yaani sijui Posta huwa wanakwama wapi nimeagiza mzigo toka Ali Express umefika Dar tarehe 25 ukaondoka Dar siku hiyo hiyo ukafika Arusha tarehe 26 ila mpaka leo Jumatatu hakuna msg nimeenda hapo kwao wanasema bado hawajapewa tatizo liko wapi mbona dar siku hiyo wanatoa mizigo huku Mikoani wanafeli wapi