kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
nishauri mkuu ndio biashara ninayoitegemea nifanyajeAisseeeeeeee
nashukuru mkuu kwa hyo huyu mteja nimuache au maana ananitishia asubuhi atanifanyia fujoBadili tactics zako za biashara.
Especially hapo pa kukopesha.
Manake kuna wanawake mnnnnnh.
Why akufanyie fujo?nashukuru mkuu kwa hyo huyu mteja nimuache au maana ananitishia asubuhi atanifanyia fujo
eti nikimfuata ofisini kwake kuchukua hela halipi anafidia viatu vileWhy akufanyie fujo?
Kazi ipo hapa. Hata nashindwa kukushauri ufanyeje. Badili tu namna unavyofanya biashara yako.eti nikimfuata ofisini kwake kuchukua hela halipi anafidia viatu vile
nashkuru mkuu yaani nimekaa naumiza kichwa mtu nimemkopa viatu kavaa wiki tatu halafu vimechanika aje kunikomoa kwenye bidhaa nyingineKazi ipo hapa. Hata nashindwa kukushauri ufanyeje. Badili tu namna unavyofanya biashara yako.
Sikushauri kukopesha.
sasa mkuu tufanyaje ww unataka tukae home tusubiri ugali wa shikamoo sie hyo hatutaki sisi tunapiga kaziWanaume wa darisalama katika ubora wenu [emoji51][emoji51][emoji51]
Tujifunze kuwa mkopo kwa bidhaa ambayo haina warrant ni hasara kwakonashukuru mkuu nafikiri nitabadilika sasa maana nilikuwa nawakopesha sana wanawake huyo ndio kaniharibia kabisa anataka asilipe deni la bidhaa nyingine kisa viatu aliviharibu
ndiyo hivyo mkuu nilitaka waliopitia changamoto kama yangu walifanyaje,walimnyang'anya mteja bidhaa au walihesabu kama hasara wakapotezeaMtu akileta mada huku ni wazi kuwa amejaribu sana na Ameshindwa so anakuja huku kupata mawazo tofauti. Nashangaa mambo madogo ambayo unaweza uka-deal nayo bila hata mkeo kujua(kama unae)
Samahani sana kama nimetumia lugha ya makwazo
nashkuru sitafanya ujinga huu tena maana nilizoea kuwakopesha wafanyabiashara wadogo kila siku wanipe bukuTujifunze kuwa mkopo kwa bidhaa ambayo haina warrant ni hasara kwako
Na kumkopesha mtu bidhaa ambazo hazina ulazima ni kujitengenezea mfereji wa kufirisika
eeh mteja akileta kama hizo alizonipiga mimi unaanzisha ugomvi au unamkaushia tu nakuhesabu hasara tayariHata sisi waunza majeneza na vumbi la Kongo pia tunakutana na changamoto!