Habarini wakuu
Nina dukuduku langu kuhusu hawa maxcom a.k.a maxmalipo yaani kila unapoenda kununua luku wanakuambia hakuna network, kama wameshindwa kazi waseme maana imekuwa kero sana wakifuatiwa na wenzao wa mpesa. Binafsi nawasihi wawajali wateja wao