Kesho Azam Tv ataonesha mechi ya CAFCL bure kama kibali alichopewa kinavyosema?

Kitu kizuri ni kwamba DSTV watarusha nasubiri kuskia Mohammed Abdulrahman scores
 
Muda wa mpira ukifika wataonyesha bure hata kama hujalipia kifurushi ila .mpira ukiisha tu wanakata
 
Muda wa mpira ukifika wataonyesha bure hata kama hujalipia kifurushi ila .mpira ukiisha tu wanakata
Hawajafanya hivyo aisee, yaani wamepewa bure ila wao wanalipisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…