Kesho hakutakuwa na Mgomo

Kesho hakutakuwa na Mgomo

Hawana ubavu wa kugoma sisi huku maisha ya kwenda sokoni na magengeni yanatutosha kabisa
 
ILA WABONGO WAJINGA ET UNAFUNGA UNABAKI NYUMBANI FATA MBUZI WALIPO TULE NYAMA
 
Wamegoma tarehe za biashara kuchanganya. Wangegoma kati ya tarehe 10-20. Tarehe ambazo biashara hupoa.
 
Sasa mbona huonekani kuunga mkono maandamano ya wafanyabiashara yasio na kikomo?

Msimamo wangu ni kuwa serikali iandae mpango wa Watu wote nchi nzima kulipa kodi kuanzia tajiri wa kwanza hadi Maskini wa mwisho.
Walipe kulingana na kipato chao

Kiongozi namba moja mpaka yule wa chini kabisa.

Taasisi zote zilipe kodi mpaka zile za kidini.

Watu ambao hawapaswi kulipa kodi ni wanafunzi, watoto na wazee

Sheria kali iundwe ya wezi na mafisadi watakaoiba pesa za umma wanyongwe.

Walipa kodi Wakiwa wengi utitiri wa kodi utapungua.

Hapo hao wafañyabiashara wanapoteza muda wao tuu. Hakuna kitakachotatuliwa

Kwa sababu serikali inachukua kodi kwa watu wachache ambao ni watumishi wa umma, wafanyakazi wa sekta binafsi wenye kazi shughuli rasmi na hao wafañyabiashara ambao nao ni vile wapo eneo wasiloweza kukimbia hizo kodi

Sio haki kuwa na utitiri wa kodi.
Sio haki pia kundi dogo kutozwa kodi huku kundi kubwa likiwa halitoi kodi ( Direct tax)
Sio haki viongozi kuwa wabadhirifu wa fedha za umma.
 
Ukisema wanaoiba pesa ya umma wote wanyongwe, si utanyonga wanaCCM wote waliopo kwenye uongozi wa Serikali na chama?
 
Hivi waogoma ni wafanyabiashara wa kariakoo tuu eeh , mangi huku uswazi wao kama kawaida
 
Ukisema wanaoiba pesa ya umma wote wanyongwe, si uranyonga wanaCCM wote waliopo kwenye uongozi wa Serikali na chama?

Magufuli kama angekuwa mkweli angefanya jambo hili lakini niligundua ni muongo.

Ukishakuwa mwizi kubali wezi wengine waibe
 
Back
Top Bottom