Kesho hakutakuwa na Mgomo

Kesho hakutakuwa na Mgomo

Habari wakuu!

Huenda ulikuwa mgomo wa siku tatu.
Huenda siasa imeingilia suala hili
Huenda pumzi imekata.

Wachambuzi wa masuala ya migomo na maandamano wanaeleza kuwa mgomo huu wa wakariakoo mwisho unaweza kuwa Leo.

Kesho biashara zitafunguliwa.

Ñgoja tuone
M TAG na erythrocyte maana yeye anaamini ni mgomo usi o na ukomo marejesho yameshaanza kufanya kazi yake
 
Hahahahaha...ndio maana wao wanapeta tu huku uswazi

Nchi hii kila mtu akilipa kodi kutawaka.

Achana na hizo pesa zinazokatwa indirect
Pesa inayouma ni ile inayotoa cash mfukoni

Fikiria mtu ukikopeshwa pesa wakati wa kurudisha unaumia licha ya kuwa sio yako.
Wengine huona bora waile tuu
 
Back
Top Bottom