Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
FB_IMG_16881288552415247.jpg
 
Wanatafutaje, maana wanalia bongo movie hazilipi ila kutwa wanashinda Dubai
🤣🤣🤣🤣🤣

Msanii anakaduka ka nguo Sinza au Kino kapo location ya ajabu ila kapaki RANGE ROVER ukithamisha hakafiki 25M

Watupe siri na dada zetu waende
 
Wanatafutaje, maana wanalia movie hazilipi ila wanashinda Dubai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Msanii anakaduka ka nguo Sinza au Kino kapo location ya ajabu ila kapaki RANGE ROVER ukithamisha hakafiki 25M

Watupe siri na dada zetu waende
Hakuna watu waenda kwa waganga kusafisha nyota kama hao watu,wanajifanya hawaijui manzese,mbagala na chanika ila huko ndo Kuna machimbo ya waganga wao kuwasafisha nyota hao
 
Back
Top Bottom