Jiandae na hizi mbanga..
We mzee sogea nyuma daladala haijai.
Nauli hapo afisaa
Abiria tupendane shika bomba
Abiria shika naul yako change kamili
Kupitilizw kituo
Kushuka na kusahau sim na wallet
Kama unaona shida kwani hukuona tax, uber au bolt.
Kama we mnene utasikia we bonge hiyo siti wanakaa watatu.
Sahau kuondoka muda unaopanga, wahi kuamka wahi kutoka.
Ni hayo tu.
Tukutane kituoni kuminambili kamili......famasiara, unalipa na ya kugeuka na gari.. haha