Kesho kutakuwa na mpira usio wa kiufundi Al ahly vs Simba

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kutokana na umuhimu wa mchezo wenyewe kila mmoja akizihitaji alama tatu muhimu lakini pia kuweka Historia kwenye Mashindano mapya ya AFL.

Si hivyo tu kutokana na ukubwa wa kila timu haitokuwa rahisi kufa kijinga kila mmoja atamvimbia mwenzake kitu kitakachoufanya mchezo kukosa mvuto na Pira Butua Twende kuchukua nafasi kubwa Dimbani. Na kuna timu itakula nyingi.

#solomatv_updates

 
Hiyo nayo ni habari tayari????

Uzi tayari????

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…