Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kutokana na umuhimu wa mchezo wenyewe kila mmoja akizihitaji alama tatu muhimu lakini pia kuweka Historia kwenye Mashindano mapya ya AFL.
Si hivyo tu kutokana na ukubwa wa kila timu haitokuwa rahisi kufa kijinga kila mmoja atamvimbia mwenzake kitu kitakachoufanya mchezo kukosa mvuto na Pira Butua Twende kuchukua nafasi kubwa Dimbani. Na kuna timu itakula nyingi.
#solomatv_updates