Tetesi: Kesho kuvaa nguo za CHADEMA ni jinai.

Tetesi: Kesho kuvaa nguo za CHADEMA ni jinai.

Kuna wajinga fulani wanataka tuushangilie ujinga wao wakipingwa wananuna!!

Mkuu hata wasikuumize kichwa wapo kazini ni ajira zao hizo wameajiriwa kwa ajili hiyo ila wanachotenda hata wao kinawaumiza lakini watafanya nini,wanapigania kibarua chao
 
Tukutane barabarani hakuna namna ni kufa au kupona kama mungu akipenda
 
Nitavaa aiseee, lazima nivae kisha nakwenda zangu ofisini nione kama watanifanya nini, sina kosa, hivi hata kuvaa nguo ni dhambi??
 
Kuna tetesi kwamba kesho mtu yeyote atakayeonekana amevaa Nguo au vipeperushi vya CHADEMA atakamatwa na kutakiwa kujieleza ni kwa nini amevaa nguo hizo.

Kama ni kweli tunaomba watawala wa nchi hii watutangazie ili wenzetu hasa wototo wetu walio mbali na media kama hii wajue na watii wasije wakaishia Moi au Mortuary
 
Kama ni kweli tunaomba watawala wa nchi hii watutangazie ili wenzetu hasa wototo wetu walio mbali na media kama hii wajue na watii wasije wakaishia Moi au Mortuary
Na kuna watu wanashangilia ujinga huu!!
 
Hicho ndicho ccm wanakitaka , kusigina katiba na kusigina raia .
Siku raia wakichafukwa amini nakwambia haya yote yatafika mwisho.
Watu watayachukia maisha na hawatakua na woga wa kufa.
 
Back
Top Bottom