Kesho magazeti ya kufungia vitumbua yote Yanga imekufa kiume!!

Kesho magazeti ya kufungia vitumbua yote Yanga imekufa kiume!!

Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.

Kweli hasidi Hana sababu!.....cha msingi imefuzu....ni haki take kupambwa au wewe ni wale wale wa matopeni?
 
Il capitano ulijuaje kama haya maneno ya kahawa bila mwenyewe kuwa mtu wa kahawa
niliacha kwenda kwenda kwenye kahawa baada ya kugundua maongezi si ya watu wenye uwezo wa kupambanua mambo...ni kuongea ongea bila weledi ili mradi muda wa kula ufike msambae...ndo wewe sasa
 
Kweli hasidi Hana sababu!.....cha msingi imefuzu....ni haki take kupambwa au wewe ni wale wale wa matopeni?
matopeni si chura pia wanaishi kama pale kwenye bwawa lao jangwani?
 
niliacha kwenda kwenda kwenye kahawa baada ya kugundua maongezi si ya watu wenye uwezo wa kupambanua mambo...ni kuongea ongea bila weledi ili mradi muda wa kula ufike msambae...ndo wewe sasa
Kama unawaambia wale wazee wa million 700 hawana weledi ok!
 
Kama unawaambia wale wazee wa million 700 hawana weledi ok!
Haahaa...kumbe wewe ni mnazi wa simba mpka unakumbuka mil700...pole bana jenga timu yako najua ungependa timu yako ipate nafasi hii lakini ndo hivyo tena hamna namna
 
Mie ata sijaelewa, kwanza nilidhani hii post ni ya saa2 asubuhi, nilipoanza 8:55 PM ndio nikaelewa kwamba mleta uzi ni kilaza wa Matopeni.
 
Mie ata sijaelewa, kwanza nilidhani hii post ni ya saa2 asubuhi, nilipoanza 8:55 PM ndio nikaelewa kwamba mleta uzi ni kilaza wa Matopeni.
vilaza saa hizi wanapongezana na kumaliza credit,kuulizia timu itaingia saa ngapi ili wakawape mbu chakula yao pale airport
 
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.

Duh, wewe sasa inaelekea hujui mambo mengi...Wataandikaje YANGA yafa kiume wakatiimesonga mbele? Kwenye magazeti ya kesho kufungwa 1-0 siyo news, habari ni YANGA yasonga mbele.
 
Duh, wewe sasa inaelekea hujui mambo mengi...Wataandikaje YANGA yafa kiume wakatiimesonga mbele? Kwenye magazeti ya kesho kufungwa 1-0 siyo news, habari ni YANGA yasonga mbele.
wewe una uweledi wa magazeti yetu sana
 
71c6b23458ea1ed48a98fea0018769e8.jpg
 
naskia mkia fc wamefuzu makundi kombe la dr mwaka
 
[QUOTE="kipara kipya, post: 16234999, member: matopeni si chura pia wanaishi kama pale kwenye bwawa lao jangwani?[/QUOTE]
jangwanu bwawa linatoka wapi??
 
[QUOTE="kipara kipya, post: 16234999, member: matopeni si chura pia wanaishi kama pale kwenye bwawa lao jangwani?
jangwanu bwawa linatoka wapi??[/QUOTE]
inaonekana unakaa mkoani kama mimi
 
Eti Yanga kafungwa?
Neno aggregate hawalijui? Yanga kashinda 2-1
 
Simba yasajili Kifaa kipya kwa msimu ujao 2016/2017
fb2f2663a32e223af88698eab268fd63.jpg
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Back
Top Bottom