kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #21
Il capitano ulijuaje kama haya maneno ya kahawa bila mwenyewe kuwa mtu wa kahawaKipara bado una safari ndefu sana katika kuujua mpira....acha maneno ya kwenye kahawa
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
niliacha kwenda kwenda kwenye kahawa baada ya kugundua maongezi si ya watu wenye uwezo wa kupambanua mambo...ni kuongea ongea bila weledi ili mradi muda wa kula ufike msambae...ndo wewe sasaIl capitano ulijuaje kama haya maneno ya kahawa bila mwenyewe kuwa mtu wa kahawa
matopeni si chura pia wanaishi kama pale kwenye bwawa lao jangwani?Kweli hasidi Hana sababu!.....cha msingi imefuzu....ni haki take kupambwa au wewe ni wale wale wa matopeni?
Kama unawaambia wale wazee wa million 700 hawana weledi ok!niliacha kwenda kwenda kwenye kahawa baada ya kugundua maongezi si ya watu wenye uwezo wa kupambanua mambo...ni kuongea ongea bila weledi ili mradi muda wa kula ufike msambae...ndo wewe sasa
Haahaa...kumbe wewe ni mnazi wa simba mpka unakumbuka mil700...pole bana jenga timu yako najua ungependa timu yako ipate nafasi hii lakini ndo hivyo tena hamna namnaKama unawaambia wale wazee wa million 700 hawana weledi ok!
usikonde!Haahaa...kumbe wewe ni mnazi wa simba mpka unakumbuka mil700...pole bana jenga timu yako najua ungependa timu yako ipate nafasi hii lakini ndo hivyo tena hamna namna
vilaza saa hizi wanapongezana na kumaliza credit,kuulizia timu itaingia saa ngapi ili wakawape mbu chakula yao pale airportMie ata sijaelewa, kwanza nilidhani hii post ni ya saa2 asubuhi, nilipoanza 8:55 PM ndio nikaelewa kwamba mleta uzi ni kilaza wa Matopeni.
Kama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
wewe una uweledi wa magazeti yetu sanaDuh, wewe sasa inaelekea hujui mambo mengi...Wataandikaje YANGA yafa kiume wakatiimesonga mbele? Kwenye magazeti ya kesho kufungwa 1-0 siyo news, habari ni YANGA yasonga mbele.
jangwanu bwawa linatoka wapi??[/QUOTE][QUOTE="kipara kipya, post: 16234999, member: matopeni si chura pia wanaishi kama pale kwenye bwawa lao jangwani?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Simba yasajili Kifaa kipya kwa msimu ujao 2016/2017
wanalijua yanga kashinda 2-1 aggregate, ila mpira hautoi mabingwa wawili kwa wakati mmojaEti Yanga kafungwa?
Neno aggregate hawalijui? Yanga kashinda 2-1