Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Haya nimekuelewa mwanasheria na mchambuzi wa soka gizanihuyu kipara hajui hata sheria za mpira. kakurupuka na matongotongo wala hajui hata alichokiandika. sagrada esperanca ndo wamekufa kiume acha upoyoyo kipara.
inaonekana unakaa mkoani kama mimi[/QUOTE]jangwanu bwawa linatoka wapi??
inaonekana unakaa mkoani kama mimi
Basi wote mimi na wewe hatusomi kwa umakini sababu ile jangwanu ipo huku kwetu mkoani au[/QUOTE]kweli umemeza sabuni acha mapovu yakutoke hata kusoma kwa umakini ni shidaaaaaa
TFF YANGA,marefa YANGA hadi magazeti nayo YANGA!! nyie wamatopen badala ya kufocus kumiprove timu lenu mnabaki kutapatapa...maana mwisho mtasema SIMBA SC nao yangaKama kawaida kesho magazeti ya kufungia maandazi,yatakoleza rangi za mashuka ya theatre,yanga imekufa kiume badala ya kujikita kwenye tathimini ya mchezo,kwani wandishi na wahariri wanalipwa bei gani kuipamba?kufungwa ni kufungwa tu.
Basi wote mimi na wewe hatusomi kwa umakini sababu ile jangwanu ipo huku kwetu mkoani au
Duuh bishana mpaka ufe ushindi daima mbele[/QUOTE]QUOTE yako tuu inaonesha ya moyoni mwako