Ukiwa na vyerehani vinne tayari una kiwanda!
Kama umetengeneza ajira za watu wanne na mnageuza raw material into a product kwa mini kisiwe kiwanda kidogo. 75% ya viwanda vya China ni small scale industries. Viwanda vidogo inabidi viwevingi sana ili large and mega industries vya kuzalisha raw materials viwepo. Pili viwanda vidogo nirahisi kuvimudi.Tatu viwanda vidogo vinaondoa risk ya unemployment inayoweza kusababishwa na viwanda vikubwa.Nne viwanda vidogo ni raisi kuanzishwa vijijini kwa hiyo utengeneza rural investment. Tano viwanda vidogo maintenance yake ni ndogo nasita vinatengeneza pia ajira. Unemployment Marekali imetokoa baada ya viwanda vikubwa kufunga jambo ambalo China nivigumu kutokea kutokana na asilimia kubwa ya viwanda vidogo. Usivibeze viwanda vidogo vinaumuhi sana kuliko hata viwanda vikubwa. Ahsante sana Waziri wa viwanda kwakuliona hilo.Tuakikishe 80% ya viwanda vyetu niviwanda vidogo. Nendeni China na India mkajioni majumbani wanapoishi au nenda pale kwenye nyumba za wachina Mikocheni ukajione wanavyopiga kazi nakuuza hapa hapa nchini.
Watakuelewa wachache sana! Wengi wamekariri tu hiyo statement na kuishia kukoment automaticallyKama umetengeneza ajira za watu wanne na mnageuza raw material into a product kwa mini kisiwe kiwanda kidogo. 75% ya viwanda vya China ni small scale industries. Viwanda vidogo inabidi viwevingi sana ili large and mega industries vya kuzalisha raw materials viwepo. Pili viwanda vidogo nirahisi kuvimudi.Tatu viwanda vidogo vinaondoa risk ya unemployment inayoweza kusababishwa na viwanda vikubwa.Nne viwanda vidogo ni raisi kuanzishwa vijijini kwa hiyo utengeneza rural investment. Tano viwanda vidogo maintenance yake ni ndogo nasita vinatengeneza pia ajira. Unemployment Marekali imetokoa baada ya viwanda vikubwa kufunga jambo ambalo China nivigumu kutokea kutokana na asilimia kubwa ya viwanda vidogo. Usivibeze viwanda vidogo vinaumuhi sana kuliko hata viwanda vikubwa. Ahsante sana Waziri wa viwanda kwakuliona hilo.Tuakikishe 80% ya viwanda vyetu niviwanda vidogo. Nendeni China na India mkajioni majumbani wanapoishi au nenda pale kwenye nyumba za wachina Mikocheni ukajione wanavyopiga kazi nakuuza hapa hapa nchini.
Ndugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???Moja ya kiwanda kitakacho zinduliwa kesho. Nihiki kiwanda cha Chuma. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeza nondo na aina tofauti za vyuma. Kiwanda pekeyake kina urefu wa kilometer moja na reli train (railway system) yenye urefu wa 1.2 kilometers. Pia kinatumia Coal kuzalisha umeme wakiwanda nakuyeyusha chuma. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Thank you Magufuri.View attachment 527663 View attachment 527665View attachment 527666View attachment 527667
Leta jina la kiwanda cha chuma kikubwa zaidi ya hikiNdugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
Ukiwa na vyerehani vinne tayari una kiwanda!
Kama yu muongo sasa wewe leta ukweli, kupinga tu bila ushahidi unaonekana ni wewe usiyejuwa kitu na muongo.Ndugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
Najua vizuri sana nisawa na meter 1000. Ingia you tube andika Kiluwa steel utapata kujua hicho kiwanda video inayoeleza urefu wa reli ndani ya kiwanda. Ingia YouTube kwanzaLeta jina la kiwanda cha chuma kikubwa zaidi ya hiki
Leta jina la kiwanda cha chuma kikubwa zaidi ya hiki
Tanzania mpya hiyooMoja ya kiwanda kitakacho zinduliwa kesho. Nihiki kiwanda cha Chuma. Nikiwanda kikubwa East and Central Africa chakutengeza nondo na aina tofauti za vyuma. Kiwanda pekeyake kina urefu wa kilometer moja na reli train (railway system) yenye urefu wa 1.2 kilometers. Pia kinatumia Coal kuzalisha umeme wakiwanda nakuyeyusha chuma. Largest iron and steel industry in East and Central Africa. Thank you Magufuri.View attachment 527663 View attachment 527665View attachment 527666View attachment 527667
Jamii forums haina mipaka kupashana habariWhy this on Kenyan Forum? Ama ni pwani ya Kenya?
Nimesema kiwanda kikubwa chakutengeneza za steel and iron kikubwa East and Central Africa kinaurefu wa 1km. Kama kunakiwanda cha steel kikubwa zaidi yahiki tuletee hapa. Hicho kinaitwa Kiluwa Steel. Waweza ingia you tube kujua zaidiNdugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
Leta chakwako kikubwa zaidi ya hikiNdugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
Kupashana ni muhimu na inakubalika ila hii habari haipaswi kua hapa, halituhusu sisi kama wakenya na chochote, that's the creator of the site made forum names to guide members on where and what to post.Jamii forums haina mipaka kupashana habari
Huyo niwakumpuuza tuNimesema kiwanda kikubwa chakutengeneza za steel and iron kikubwa East and Central Africa kinaurefu wa 1km. Kama kunakiwanda cha steel kikubwa zaidi yahiki tuletee hapa. Hicho kinaitwa Kiluwa Steel. Waweza ingia you tube kujua zaidi