- Thread starter
- #21
Ukiwa na vyerehani vinne tayari una kiwanda! Small industries in China and India. Ujifunze mkuu
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na vyerehani vinne tayari una kiwanda! Small industries in China and India. Ujifunze mkuu
![]()
Kesho Magufuri atakuwa na ziara mkoani Pwani yakuzinduani viwanda 5 vikubwa kati ya 80 ambavyo bado vinaendelea na ujenzi. Mkoa wa Pwani pekee toka ameingia raisi Magufuri unazaidi ya viwanda 200 ambavyo vingine vimeisha navingine vipo katika ujenzi.
Viwanda vinavyozinduliwa kesho. Nikiwanda cha Chuma, kiwanda chakukausha matunda kwaajili yasoko la nje, kiwanda cha vifungashio, kiwanda cha juisi na kiwanda chakutengeneza tractor. Serikali ya Viwanda ya Doctor John Pombe Magufuri
Haliwahusu kwani mmelazimishwa kufungua mada hii!!Kupashana ni muhimu na inakubalika ila hii habari haipaswi kua hapa, halituhusu sisi kama wakenya na chochote, that's the creator of the site made forum names to guide members on where and what to post.
Pia kuna kiwanda cha Goodwill Ceramics/Tiles chakutengeneza vigae. Kinaurefu almost wa 1kilometer na bado kinapanuliwa.Largest ceramic/tiles factory in East and Central Africa. Kinatumia gesi kuzalisha umeme wake. Kimeshazinduliwa na rahisi Magufuri. Ingia YouTube. Andika uzinduzi wa kiwanda cha vigae Goodwill mkoani PwaniNdugu yangu unaijua kilomita vizuri.. yaani unasifia km 1???? Useme kiwanda kikubwa afrika mashariki na kati?? Kweli???
= Magufuli
= Magufuli
= Magufuli
Hakuna jina linalotajwa na kuandikwa sana Tanzania hii kwa sasa zaidi ya hilo.
Nnakushangaa sana unapoliandika tofauti.
Huo ni ujinga wa asili.
= Magufuli
= Magufuli
= Magufuli
Hakuna jina linalotajwa na kuandikwa sana Tanzania hii kwa sasa zaidi ya hilo.
Nnakushangaa sana unapoliandika tofauti.
Huo ni ujinga wa asili.
Hiyo inaonyesha nikwa namnagani sinaga muda wakufatilia majina ya watu bila matendo. To me names are not my priority
Hiyo inaonyesha nikwa namnagani sinaga muda wakufatilia majina ya watu bila matendo. To me names are not my priority
7 - Off-Topic Posts:Haliwahusu kwani mmelazimishwa kufungua mada hii!!
Kama ilivyo hukulazimishwa kujiunga J
Pia huwezi lazimishwa kufungua na kusoma habari yeyote Jf
Umeanza kuleta siasa kwenye masilai ya nchi. Ungejua kuwa mimi nimmoja kati yawatu nilie zunguka Tanzania nzima nikiwa na chadema kumnadi Lowassa ungekaa kimia.UVCCM mpo kila mahali
= sina
Unaendelea kudhihirisha ujinga wako wa asili.
= sina
Unaendelea kudhihirisha ujinga wako wa asili.
Tupongeze basi.7 - Off-Topic Posts:
There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all
That's why the group has that rule na hio ndo maana na comment hapa.
Ipo kwa jukwa ya Kenya kawaida inferiority complex yasuambua. Always proving you can do it to your big brother otherwise karibu, uzuri tunakuelewa.Jamii forums haina mipaka kupashana habari
Waooh for the first time from Kenyan.Hongera ndugu zetu wa Tanzania
Kwa kweli tunaomba mtuvumilie tu sababu we have a long way to go with this kind of stuff leo tumeanza na vitano lakini Usisahau kuna zaidi ya viwanda 200 vinajengwa ndani ya mkoa mmoja tu.Ipo kwa jukwa ya Kenya kawaida inferiority complex yasuambua. Always proving you can do it to your big brother otherwise karibu, uzuri tunakuelewa.