Kesho Magufuri atakuwa na ziara mkoani Pwani yakuzindua viwanda vikubwa 5 katiya 80 vinavyojengwa.

Kenyans, just remember:

The once sleeping giant is fully awake now. Expect wonders, nothing less.

We have beaten you in pipeline, we are currently beating you hands down in SGR and soon you will be holding a tail position in the industrial sector.

Keep this in your minds.
 
Mkuu kuna kiwanda cha cement cha $1.2 Billion pamoja na industrial park kutoka SINOC Kampuni ya serikali ya China. Kitakuwa ndokiwanda kikubwa cha cement East and Central Africa kuliko ata cha Dangote. Kitazalisha 6 million tonnes of cement per year, 30% of cement for domestic use and 70% for export. Direct employment 2000 Kitatengeneza. Pia cement yao ndoitatumika kujenga Silk road. Hii nikampuni ya serikali ya China. Vifaa vyakiwanda vimeshaanza kuingia nchini. Kwa sasa kwenye swala la viwanda ni speed 360.
 
Jumla mkoa wa Pwani pekeyake unaviwanda 370 na kabla ya December Magufuli ataludi tena Pwani kuzindua viwanda vipya 10.
 
Wakenya wapate somo kwamba sisi ni donor country soon to be official
 
Kiwanda cha matrekta cha TAMKO kinapanulia tena ya malambili kilichozinduliwa Leo. Jiwe lamsingi limeweka na Magufuli ilikuanza kwa upanuzi.
 
Km 1 kwa makaDirio ya kawaiDa ni sawa na viwanja 10 vya mpira Wa miguu (Ile pitch peke yake) so Si nDogo
 
Hiki ndokiwanda cha Goodwill ceramics/tiles largest East and Central Africa kinaurefu wa 1km nabado kinapanuliwa. Kinazalisha umeme wake kwakutumia gesi. Kimesha ajili wafanyakazi 1500 pindi kinazinduliwa. Jumla ajila zitakuwa zaidi ya 2000 kitapo kamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…