Bandugu!
Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu.
Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu Mwenyekiti wa Chama. Na mambo mengine mazuri sana.
Mama Samia mitano tena hadi 2030. Hakuna kama yeye ni fireeee!