Kesho mambo makubwa ni mawili tu hapa nchini Tanzania. Mkutano mkuu wa CCM na Mechi ya Yanga kufuzu robo Klabu bingwa

Kesho mambo makubwa ni mawili tu hapa nchini Tanzania. Mkutano mkuu wa CCM na Mechi ya Yanga kufuzu robo Klabu bingwa

Mafyangula

Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
75
Reaction score
100
Bandugu!

Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu.

Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu Mwenyekiti wa Chama. Na mambo mengine mazuri sana.

Mama Samia mitano tena hadi 2030. Hakuna kama yeye ni fireeee!
 
Back
Top Bottom